Dawa kwa wenye matatizo

Abdul mdachi

Member
Joined
Nov 9, 2014
Posts
46
Reaction score
2
Kwa wenye matatizo ya kisukari, pressure, upungufu wa cd4 mwilini, nguvu za kiume, chango, miguu kuvimba na kupasua, uchovu wa mara kwa mara na maradhi mengne. Njoo upate tiba kutokana na dawa zilizothibitishwa na mkemia mkuu. Kwa maelezo zaidi tuwasiliane kwa namba 0712389866
 
Duuuhh.... ...
Maskini mkemia mkuu! Ndo anathibitisha dawa siku hizi badala ya TFDA?
SINA IMANI NA DAWA HIZI.
 

Utatuuwa ndugu kwa uongo wako na tamaa ya fedha.. Kumbuka kuwa hata TFDA wanachofanya ni kuangalia tu kuwa hazina madhara wala hawaangalii km zinatibu.. kwa hiyo huna hoja.. za Morogoro nanenane?
 
Hili nalo linatofauti gani na yale tunayoyaona barabarani kila siku? Itakulipa lakini COWS WILL NEVER END!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…