Dawa-lishe ya ajabu toka USA: iinaponya magonjwa sugu kwa haraka sana!

pesa.fasta

New Member
Joined
Nov 4, 2012
Posts
2
Reaction score
0
Ni dawa-lishe ya ajabu inayotumia teknolojia ya kisasa kwa kuhuisha mfumo wa kinga mwilini na kuimarisha afya ndani ya wiki nne tu. Wagonjwa wa ukimwi, kansa, kisukari, malaria sugu, figo, presha, moyo mkubwa, na magonjwa mengine sugu wametibiwa kwa dawa-lishe hii na kupata nafuu, baada ya kuugua kwa muda mrefu na kupoteza fedha nyingi bila kupona.

Dawa-lishe hii kutoka kampuni ya 4Life ya USA, inaitwa Transfer Factor Plus(R). Imeingia nchini Tanzania miezi minne iliyopita. Kwa mwenye kuhitaji tuwasiliane 0785-387 826 au email: pesa.fasta@aol.com

NB. Dawa-lishe hii kwa bahati mbaya haipatikani madukani kwa lengo la kudhibiti bei. Inapatikana kwa wauzaji maalumu tu kama mimi, pengine na wewe kama utapenda kujiunga nitakusaidia ili upate dawa-lishe hii kwa bei ya jumla.
 
kansa????ugonjwa huu ni mbaya sana!madaktari duniani wamechemsha, wewe unatibu kwa lishe?you must be joking
 
From USA? ingekuwa imetoka nchi nyingine sawa, lakini USA! sina imani nayo hata kidogo.
 
Kwanza hata hujapiga hodi!

Alafu unataka kututapeli wanajamvi!
 
Nani kathibitisha? Ukitaka iaminiwe ipeleke wizara ya afya ikafanyiwe majaribio na kupata kibali. Vinginevyo huo ni usanii.
 
Mwanangu pesa.fasta acha utapeli na uganga wa kienyeji. Umeishajichanganya kusema eti wamepona na kupata nafuu. Acha kuwaibia watu wana shida zao tayari. Huna hata huruma unataka kuwaibia waathirika. May you perish and receive RIP soon kwa ujambazi huu wa mchana.
 
watu wanataka uponyaji wewe unawaambia mambo ya kupata nafuu? acha utapeli.
 

Trevo ni nzuri imenisaidia mimi kushusha presha na ssa najisikiavizuri baada ya kuitumia kwa siku 3 namtetea fasta fasta jamani tuache kuwaponda watu bla kufanya utafiti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…