Dawa maalum

Dawa maalum

Rohombaya

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2011
Posts
13,067
Reaction score
10,393
Chukua Magome ya mwembe, Majani ya mpera, Miziz ya Mkorosho changanya na Mkundekunde kisha pondaponda majani ya mpapai,
Chemsha dakika15
Halafu Chuja vizuri
Kata ndim 10 na robo lita Asali mbichi Changanya vyote
Kunywa Kutwa Mara 3, kwa muda wa siku 7. Hiyo ni dawa ya kuokota Gari.

‍[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
mawazo yako na username yako inafanana na huyo jamaa kwenye id yako.
 
Chukua Magome ya mwembe, Majani ya mpera, Miziz ya Mkorosho changanya na Mkundekunde kisha pondaponda majani ya mpapai,
Chemsha dakika15
Halafu Chuja vizuri
Kata ndim 10 na robo lita Asali mbichi Changanya vyote
Kunywa Kutwa Mara 3, kwa muda wa siku 7. Hiyo ni dawa ya kuokota Gari.

‍[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Mkuu ii dawa ni kuokota gar pekee?

Haitibu magonjwa mengn kam roho mbay?
 
Chukua Magome ya mwembe, Majani ya mpera, Miziz ya Mkorosho changanya na Mkundekunde kisha pondaponda majani ya mpapai,
Chemsha dakika15
Halafu Chuja vizuri
Kata ndim 10 na robo lita Asali mbichi Changanya vyote
Kunywa Kutwa Mara 3, kwa muda wa siku 7. Hiyo ni dawa ya kuokota Gari.

‍[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
ukizidisha dozi utaokota gari zaidi ya moja au?
 
Ukinywa hii dawa ndo unakua hivi[emoji12] [emoji12]
1541265356567.jpg
 
Back
Top Bottom