hivi nikipimo kipi kitakufanya ujue wewe ni below standard and you need a booster, I mean mabao mangapi kwa saa, siku, wiki au mwezi?
When you can't maintain your erection for the duration of intercourse that's when you know you need some of that tadalafil....
Sasa hii dawa ya kupaka sounds to me like it's just a gimmick kwa sababu kinachosababisha erectile dysfunction ni kuziba kwa mishipa inayo pump damu kwenye penis na kazi ya viagra, cialis, au levitra ni kufungua hiyo mishipa ili kuwezesha damu ku flow huko kwenye uume.
Sasa dawa ya kupaka itafunguaje hiyo mishipa? I'm curious...
Kupaka haimanishi that the active ingredients zitabaki nje!!.. Kupaka ni njia mojawapo ya kuifikisha dawa kunakohusika... Active ingredients zinaingia kupitia skin then zinadiffuse kwenye blood flow na kufanya kazi inayotakiwa!!! Wanaposema kufungua mishipa si km kuzibua mifereji...
Dawa gani hiyo ya kupaka inayoanza kufanya kazi mara moja? Yaani unapaka tu tayari kitu kinawika....Tell me the science behind it Mr./Ms. Scientist...
Nasikia wanawake wengine wamejaaliwa wetness. Unaweza ukapaka ukafika pale ile wetness ikaosha dawa yooote!!! Just curious.
Kinacosababisha oral tablets zichukue muda kufanya kazi ni ile route inayopita,its a bit long.kwanza kidisintergate,kisha kidisolvena kiwe absorbed into blood stream halafu dawa husika isafirishwe mpaka katika hiyo mishipa inayohitaji kutanuliwa ile jogoo awike.Sasa wanachofanya wanasayansi ni kutafuta a shortcut route,yaani kwa mfano dawa inawezaje kufika katika hiyo mishipa bila ya kupitia huo mlolongo mzima.
Sasa kwa hiyo dawa inayoongelewa,kwanza kama ni ya kupaka inaweza kuwa katika solution form hivyo ikifika katika mishipa husika ni kuchapa kazi tuu kwa kwenda mbele.Unachoweza kufanya ni kuiweka katika vehicle ambayo itaweza kuisafirisha through the skin hivyo kufika katika mishipa ya damu moja kwa moja,na fat soluble vehicles are very good at this,kinachotkiwa ni dawa husika kuwa fat soluble also.
Ulishawahi kujiuliza ni kwanini sublingal nifedipine inashusha preessure haraka ukilinganisha na oral nifedipine!Ni kwa sababu sublingal nifedipine inaenda moja kwa moja katika damu na kuanza kuchapa kazi.Na ukijaribu kuangalia kwa makini utagundua dawa ni zile zile kinachobadilika ni formulations za dawa husika.Leo kidonge,kesho lotion,keshokutwa solution ili mradi wapate kuipata pesa yako kwa urahisi.
Wanasayansi nchini Marekani wamevumbua dawa mpya ya kuongeza nguvu za kiume kama losheni inayopakwa kwenye uume na wamesema kuwa dawa hiyo mpya haina madhara yoyote mwilini na huanza kufanya kazi sekunde chache baada ya kupakwa kwenye uume. http://nifahamishe.com/NewsDetails.aspx?NewsID=3159994&&Cat=7
That supposed new medicine is nothing but a gimmick just like the likes of Spanish Fly and the likes. The blood streams that supply the blood to the penis are deep inside the shaft. They can't be instantly reached by just rubbing some ointment on the outer surface of the shaft and immediately start working.
The only erectile dysfunction medicines to do the trick so far are Viagra, Cialis, and Levitra which take roughly about 30 minutes to kick in.
So mark my words, this so called new drug is a gimmick and you won't hear anymore of it.
Hapo chini ndiyo habari yenyewe ati. Na hiyo dawa haina jina kwa hiyo imeitwa "Viagra mpya" Lol....Habari yenyewe haina nukuu wala jina la mtaalam au wataalam waliohusika na huo unaodaiwa kuwa uvumbuzi. Halafu mijitu humu na akili zao inanunua habari kama hizi.
Wanasayansi Wavumbua Viagra Mpya ya Kupaka
Vidonge vya Viagra Wednesday, September 23, 2009 8:17 AM
Wanasayansi nchini Marekani wamevumbua dawa mpya ya kuongeza nguvu za kiume kama losheni inayopakwa kwenye uume na wamesema kuwa dawa hiyo mpya haina madhara yoyote mwilini na huanza kufanya kazi sekunde chache baada ya kupakwa kwenye uume.Tofauti na vidonge vya kuongeza nguvu za kiume aina ya viagra ambavyo husababisha madhara mwilini, wanasayansi wamevumbua dawa mpya ya kuongeza nguvu za kiume ambayo hupakwa kwenye uume na haina madhara yoyote mwilini.
Viagra hiyo mpya ambayo ipo kama losheni imeonyesha mafanikio na huanza kufanya kazi sekunde chache baada ya kupakwa kwenye uume tofauti na vidonge vya Viagra ambavyo baada ya kumezwa mwanaume hulazimika kusubiri nusu saa ndio shughuli ianze.
Matatizo ya kutosimama vyema kwa uume huwatokea wanaume wengi duniani huku takwimu zikionyesha kuwa mwanaume mmoja katika kila wanaume 10 nchini Uingereza anakabiliwa na tatizo hilo wakati nchini Australia hali ni mbaya zaidi kwani mwanaume mmoja katika kila wanaume watano anakabiliwa na tatizo hilo.
Vidonge vya viagra humsaidia mwanaume kuwa na ufanisi zaidi kitandani kwa kuifanya mishipa ya damu itanuke na kupelekea kuongezeka kwa mzunguko wa damu mwilini.
Viagra huifanikisha hali hiyo kwa kuvizuia vimeng'enyo vya phosphodiesterase type 5 kufanya kazi zake hali ambayo husababisha madhara mbali mbali mwilini kama vile maumivu ya kichwa, matatizo ya macho, ubongo na matatizo mengine makubwa mwilini.
Lakini dawa hii mpya ya kuongeza nguvu za kiume iliyovumbuliwa na wanasayansi toka chuo kikuu cha Yeshiva University, New York, haina madhara yoyote na ilionyesha mafanikio makubwa ya hapo hapo ilipotumiwa.
Katika majaribio waliyofanyiwa panya, viagra hiyo mpya ilionyesha mafanikio makubwa kwa panya tisa kati ya kumi waliofanyiwa majaribio.
Wanasayansi walisema kuwa matokeo ya majaribio hayo kwa panya hayawezi kutofautiana na matokeo ya majaribio hayo kwa binadamu
Kwani hidho nguvu dha kiume unadhitumia kufanya nini?
Mhhhh....Je ukikosea ukapaka nyuma inakuwaje hapohayo mambo ya kupaka wameeleza madhara yake? unaweza ukapaka kunako uume na kitu kisiwike, sioni uhusiano wowote wa kisayansi uliopo kati ya kupaka na uume kuwika. Mambo yote Mkuyati mzee!!!!!!!!!