PSPA Pure'12 udsm
JF-Expert Member
- Jan 11, 2013
- 832
- 447
Wiki mbili zilizopita niliugua malaria na kikohozi. Daktari akanishauri nitumie dawa mseto na Ampicilyn.
Baada ya kumaliza dozi, nimepungua nguvu za kiume hadi nashangaa. Nikipiga goli moja, jongoo hapandi tena hadi asbh. Nikijaribu kuunganisha, yaani two-in-one, Dushe linasinyaa ghafla.
Hapa sina amani tena,mpenzi wangu harishiki na hivyo kuhatarisha mahusiano yetu. Japo nimeongea nae na kuniunga mkono kutafuta tiba.
Kabla sijaenda huko nimeona ni vyema nipitie hapa jukwaani kwa wataalam wanihakikishie kama hizo dawa zinahusika na tatizo linalonikabili.
Naombeni ushauri, nifanyaje nirudi kwenye hali yangu,maana am still young hata mtoto sina.