Dawa mseto imenimaliza, Simfikishi mwenza wangu

PSPA Pure'12 udsm

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2013
Posts
832
Reaction score
447
Wiki mbili zilizopita niliugua malaria na kikohozi. Daktari akanishauri nitumie dawa mseto na Ampicilyn.

Baada ya kumaliza dozi, nimepungua nguvu za kiume hadi nashangaa. Nikipiga goli moja, jongoo hapandi tena hadi asbh. Nikijaribu kuunganisha, yaani two-in-one, Dushe linasinyaa ghafla.

Hapa sina amani tena,mpenzi wangu harishiki na hivyo kuhatarisha mahusiano yetu. Japo nimeongea nae na kuniunga mkono kutafuta tiba.
Kabla sijaenda huko nimeona ni vyema nipitie hapa jukwaani kwa wataalam wanihakikishie kama hizo dawa zinahusika na tatizo linalonikabili.

Naombeni ushauri, nifanyaje nirudi kwenye hali yangu,maana am still young hata mtoto sina.
 
Una muda gani tangu umalize dozi ya mseto? Kula matunda ya kutosha
 
Wiki mbili tu baada ya kuugua unajievaluate umepungukiwa nguvu hadi kufikilia kutafuta tiba?
 
Kamuone mtaalamu mapema sababu many antimalarial drugs zinahusishwa na reproductive dysfunction
 
Inaelekea jamaa anapendaaa....... kuliko afya yake, wiki mbili baada ya kuugua ni muda mfupi, pumzika, kula vizuri kwa muda kiasi then utajua kama ni dawa au tatizo - "maumivu yakizidi ........"
Wiki mbili tu baada ya kuugua unajievaluate umepungukiwa nguvu hadi kufikilia kutafuta tiba?
 
Pumzika rejesha afya na nguvu ya mwili kwa kula mlo kamili, mapenzi yapo tu bro.
 
Ukikosa Dawa za kurudisha nguvu zako za kiume nitafute mimi Dawa ninayo ya kuweza kurudisha nguvu zako za kiume ukitaka bonyeza hapa.DAWA YA KUONGEZA NA KURUDISHA NGUVU ZA KIUME KWA ANAYETAKA!






 

cool down bro: wiki mbili tu unalalanika: hapo tatizo lako ni wasiwasi not otherwise. Kama kweli unaamini umepungukiwa nguvu do the following:
1. kwa kuwa umetoka kwenye ugonjwa-pumzisha mwili. kula vizur, matunda na maji ya kutosha.
2. fanya mazoezi.
3. hondoa hofu.
4. angalia mwenendo mzima wa maisha yako, kifedha, kimausiano-michepuko., etc.
5.jihamini.
 
pole sana mkuu testosterone hormone imeshuka whats app 0712505049

 
Yaan umetoka kuumwa tu hata sumu ya dawa na ugonjwa havijatoka mwilini unaenda palamia Mbunye
 
Umetoka kuumwa tu wiki mbili zilizopita.

Yan baada ya kujali afya yako, we unawaza kumridhisha mtu.

Aseee binadamu tuna tofautiana.
 
Mimi niliwahi kupatwa na tatizo kama hili nilipomeza dawa fulani za malaria si mseto wiki tatu baada ya kutumia dawa sikuwa na hamu ya ngono kabisa nilirudi kwa daktari na alinipa dawa za vitaminiA au B sikumbuki sawa sawa kisha mambonyakarudi kwa mstari

Ushauri: Muone daktari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…