Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
DAWA NA MATIBABU KWA KUTUMIA MAWE
1. Mawe yana nguvu kubwa ya kupunguza ukali wa nguvu mbaya ambayo husababishwa na sayari, Mawe husaidia kutibu maradhi mbali mbali lakini unatakiwa kua mwangalifu na kuchagua jiwe sahihi ili kupata faida ya jiwe hilo.
2. Mwili yetu huwa inatoa miale ya nishati, mnururisho kutoka sayari nyingine huwa unaathiri na kuleta mabadiliko katika miili yetu, kwa hiyo ili kuweza kuleta usawa kujilinda na hali hiyo ambayo inaweza kuwa mbaya kwa miili yetu, basi vito vyenye nguvu za kinyota hutumika.
3. Vito huchaguliwa kwa uangalifu ili kuweza kuleta nguvu zilizokusudiwa katika mwili wa binadamu.
Vito huwa vimegawanywa katika makundi mawili; yaani vya BARIDI na vya MOTO.
Ruby, Red Coral na Almasi huwa ni katika kundi la Vito vya MOTO.
Pearl, Topaz, Blue Sapphire vipo katika kundi la Vito vya BARIDI.
4. Ni vizuri kuvaa vito vya MOTO na BARIDI kwa pamoja ili kuweza kuleta mlingano wa faida za kinyota katika mwili maana kama hutafanya hivyo basi unaweza kupata madhara ya kiafya.
5. Na ili kupata nguvu kubwa za kinyota ni vizuri kuvaa vito katika muda unaotakiwa na kabla ya kuvaa vito hivyo unatakiwa uviloweke kwenye maziwa mabichi ambayo hayajapikwa au uweke kwenye miale ya jua kwa angalau masaa matatu kabla ya kuyavaa ili kuondoa takataka na uchafu.
6. Utakapoanza kuvaa madini/vito ni muhimu kujua kuwa hutakiwi kuyavua.
7. Kwa kawaida huwa inachukua muda wa miezi kadhaa kabla ya nguvu za vito kujitokeza kabisa kwa mvaaji na muda yatakavyoondolewa/kuvuliwa basi faida yake hupotea mara hiyo hiyo.
NGUVU YA MAWE/VITO KINYOTA
8. Vito hutumika kwa ajili ya kuponya magonjwa, kuleta utajiri, nguvu, mafanikio makubwa pamoja na kuishi maisha marefu.
9. Kito kinapogusana na mwili huingiza miale maalum ya kinyota yenye kuleta mafanikio.
MUDA MZURI WA KUVAA MAWE/VITO
10. Kama mtu anataka kuvaa vito ili vimletee bahati nzuri basi anaweza akavaa muda wowote lakini muda mzuri ni asubuhi na ni bora iwe tarehe za mwanzo wa mwezi.
NAMNA YA KUVAA VITO/MAWE
1. Kwanza osha kito kwenye maji.
2. Baada ya hapo osha kito kwenye kwa kutumia maziwa mabichi ambayo hayajachemshwa alafu uoshe tena kwenye maji masafi.
3. Fukiza kito hicho kwa kutumia mafusho ya nyota husika.
4. Pete yenye kito hicho ivaliwe kwenye kidole
MADINI YA KUTUMIWA KWENYE PETE:
Kama kito ni Yellow sapphires, red coral basi pete itengenezwe kwa kutumia madini ya yellow gold.
Kama kito ni Almasi, Blue sapphires au Emeralds basi pete itengenezwe kwa kutumia madini kama ya Silver, Platinum na White gold
Kama kito ni LULU basi pete itengenezwe kwa kutumia madini ya FEDHA (Silver).
Kulingana na mafunzo ya kinyota madini yamegawanywa kwa sayari kama ifuatavyo:
Dhahabu: kwa ajili ya Sun
Fedha (Silver): kwa ajili ya sayari ya Mwezi (Moon)
Shaba (Brass): kwa ajili ya sayari ya Mercury
Fedha (Silver): kwa ajili ya sayari ya Venus
Dhahabu: kwa ajili ya sayari ya Jupiter
Chuma (Iron au steel): kwa ajili ya sayari ya Saturn.
KIDOLE CHA KUVAA PETE YENYE KITO:
Ni vizuri kuvaa vito au kito kwa kutumia pete ambayo inaendana na nyota ya kidole husika ili nguvu za kinyota ziweze kuingia kwenye neva za kidole ili kuleta maana zaidi.
Kito cha nyota nyingine kinaweza kuvaliwa kwenye kidole kingine kama tu sayari hizo ni marafiki au zinaendana.
KIDOLE CHA SHAHADA: Index finger
Sayari ya Jupiter inaongoza kidole cha shahada. Vito kama Pearl, topaz, coral na moonstone pia vinaweza kuvaliwa kwenye kidole hiki.
Kidole hiki kinahusiana na tumbo pamoja na mfumo wa pumzi na upumuaji hivyo hata kwa watu wenye magonjwa haya wavae pete zenye vito hivi kwani zitawasaidia kutibu maradhi hayo.
KIDOLE CHA KATI: Middle finger
Sayari ya Saturn inatawala kidole cha kati. Vito kama Blue sapphire, gomed na cat's eye vivaliwe kwenye kidole hiki. Lakini pia vito marafiki kama Sapphire, moonstone na white pearl vinaweza kuvaliwa.
Kidole cha kati kinahusiana na ubongo, akili, utumbo na ini. Hivyo kwa wale wenye maradhi yanayohusiana na sehemu hizo za mwili watumie vito hivi kwani vitawatibu.
KIDOLE CHA PETE: Ring finger
Sayari ya Sun inatawala kidole hiki. Vito kama Ruby, pearl (lulu), moonstone, red coral na yellow sapphire (johari) vivaliwe kwenye kidole hiki. Lakini pia vito marafiki vya sayari za Moon na Mars vinaweza kuvaliwa kwenye kidole hiki kwani ni marafiki na sayari ya Sun.
Kidole hiki kinahusiana na Tumbo, mzunguko wa damu, figo na mfumo wa upumuaji. Hivyo kwa wale wenye maradhi katika sehemu hizo wanaweza kutumia vito hivi kwani vitawasaidia kutibu maradhi yao.
KIDOLE KIDOGO: Little finger
Sayari ya Mercury inatawala kidole kidogo. Vito vinavyotakiwa kuvaliwa katika kidole hiki ni emerald (zumaridi), green jade, diamond na zircon.
Kidole hiki kinahusiana na miguu, nyayo na sehemu za siri, hivyo kwa wale watu wanaosumbuliwa na maradhi haya wavae vito hivi kwenye kidole hiki kwani itawasaidia kutibu maradhi hayo.
MAWE YAKO YA BAHATI
PUNDA:-
Mawe ya kuvuta mapenzi ROSE QUARTZ. Vaa au beba mawe ya TIGER'S EYE kwa bahati ya kukuvutia pesa.
NGOMBE:-
Vaa, au lala nayo chini ya mto jiwe la AMETHYST na itakuletea bahati. Vaa pete ya Jiwe la GREEN JADE, GREEN TOURMALINE au AVENTURINE kwa kupata mvuto wa pesa.
MAPACHA:-
Vaa au beba jiwe la AGATE kwa kupata bahati, jiwe la TOURMALINE kwa mvuto wa kimapenzi na jiwe la AVENTURINE kwa mvuto wa pesa.
KAA:-
Vaa au beba jiwe la AGATE au BLACK TOURMALINE kwa kinga, Weka jiwe la CITRINE kwa kupata mafanikio au vaa cheni ya LAPIS LAZULI kwa kupata bahati.
SIMBA:-
Kwa kuleta amani nyumbani kwako weka jiwe la QUARTZ. Kwa mvuto wa kimapezi vaa au beba jiwe la ROSE QUARTZ. Mawe ya kukuletea bahati Almasi.
MASHUKE:-
Vaa jiwe la CRYSTAL QUARTZ kwa kupata Bahati, Vaa au beba jiwe la CITRINE kwa kuongeza hisia, jiwe lolote linakufaa.
MIZANI:-
Kwa kutaamali tumia jiwe la ROSE QUARTZ na MALACHITE. Weka jiwe la FLUORITE chumbani chini ya mto. Kupata bahati vaa jiwe la CITRINE au TIGER'S EYE
NGE:-
Kwa kudumisha afya nzuri na kinga vaa au beba jiwe la MALACHITE, kwa bahati na mafanikio vaa jiwe la CITRINE kwa mvuto wa kimapenzi vaa RHODONITE.
MSHALE:-
Vaa jiwe la RUBY wakati unapo safari, jiwe lako la bahati ni CITRINE kwa utulivu wa akili CRYSTAL QUARTZ.
MBUZI:-
jiwe lako la bahati ni na kukuletea afya nzuri vaa GARNET, na kwa kuona mafanikio yako shikilia jiwe la CRYSTAL QUARTZ kwenye mkono wako wa kushoto.
NDOO:-
kwa mvuta wa kimapenzi vaa jiwe RHODONITE, kwa mvuto wa pesa vaa AVENTURINE. Jiwe lako la bahati ni Amethyst
SAMAKI:-
Mawe ya kinga BLACK TOURMALINE na MALACHITE. Kuongeza nguvu vaa jiwe la HEMATITE, kwa kukupa uchangamfu.
Ukiwa na Swali au Shida au Ushauri wowote unaotaka Wasiliana na mimi Kwa What's App +905013460377