Dawa Nzuri Ya Maumivu Ya Taya Na Tatizo La Kukosa Usingizi Ni Ipi?

UngaUnga

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2014
Posts
1,724
Reaction score
1,464
Habarini Za Jioni,


Nina Maumivu Ya Taya Kutokana Na Kugeuka Kwa Ghafla Karibu Na Maungio Ya Shingo Nashindwa Kutafuna Chakula Kama Nyama, Hata Tonge Namega Kidogo Kama Mtoto Coz Mdomo Haufunguki Hadi Mwisho Nikikosea Nikatafuna Kwanguvu Taya Inashtuka Na Kuuma Nimetumia Dawa Ya Indomethacine Capsules Still Tatizo Linaendelea, Msaada Tafadhari!

Tatizo La Pili La Muda Mrefu Ni Kuchelewa Kupata Usingizi Na Hata Nikiupata Nikilala Sana Ni 4hrs Tu!

Cc MziziMkavu
 
Last edited by a moderator:
Pole kwa hayo Maumivu Tafuta mafuta ya karafuu kiasi Uchanganya na mafuta ya Zaituni uwe unajichuwa hiyo sehemu kwa siku mara 3 asubuhi mchana an usiku kwa muda wa siku 7 utapona. Na pia endelea na hiyo dawa ya kizungu mpaka utakapo maliza.

DAWA YA KUPATA USINGIZI MAZIWA FRESH NA ASALI YA NYUKI

~Glass moja ya maziwa iliyochemshwa vizuuri yawe ya moto changanya na kijiko kimoja cha Asali safi ya nyuki
~kisha koroga vizuuri
~kunywa kila unapotaka kulala glass moja kwa siku 11 UngaUnga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…