Dawa nzuri ya meno/mswaki

Dawa yoyote yenye vipimo hivi vya Flouride ni nzuri-500ppmF kwa Watoto au 1500ppmF kwa watu wazima
 
Hiyo ya forever ni noma zaidi ya zote. Huwa nanunua 4 ili hata siku ikiisha moja kama nimeishiwa hela nisihangaike.also for my baby coz akiswaki mara nyingi anameza dawa.
 
pass through the link above you will find my number, call me i will let you get it. its wonderful tooth gel thats second to none in the market today
 
kweli forever product ni uhakika ht mtoto aki2mia hlf aimeze dawa haina madhara yoyote.
 
ngoja na mimi nianze kutumia forever bright...maana hata mimi fizi huwa zinatoa damu
 
Nyie watu wa Forever sasa mmekuwa too much. Mnatia kichefu chefu na hizo bidhaa zenu feki!

Nenda ktk maduka makubwa ya madawa utapata isiyo feki! Achana na zile za kutangazwa kwenye mabasi au mitaani. Last week nilinunua tube moja kwa 13,000/-
 
Kwa hiyo dawa bora ya meno ni ipi sasa hebu leteni conclusion hapa...ila tu isiwe 'mwanafunzi mweupe'[emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Kwa hiyo dawa bora ya meno ni ipi sasa hebu leteni conclusion hapa...ila tu isiwe 'mwanafunzi mweupe'[emoji125] [emoji125] [emoji125]

Mkuu hapa conclusion, dawa nzuri ni forever bright tooth gel hii ni zaidi ya dawa...mwenyewe naitumia. Kama utahitaji ni-pm nitakusaidia uipate.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…