s.fm JF-Expert Member Joined Jul 8, 2009 Posts 663 Reaction score 117 Aug 27, 2010 #1 i hope wote mambo yako fine! naulizia ni dawa gani nzuri ya UTI, na kama kuna anaejua linapopatikana tunda linaloitwa (cranberry) nimesikia ni zuri kusafisha kibofu
i hope wote mambo yako fine! naulizia ni dawa gani nzuri ya UTI, na kama kuna anaejua linapopatikana tunda linaloitwa (cranberry) nimesikia ni zuri kusafisha kibofu
Original Pastor JF-Expert Member Joined Nov 14, 2007 Posts 1,274 Reaction score 51 Aug 27, 2010 #2 linapatikana wapi au kwa kiswahili ninini? isije ikawa zaituni ahaaa haaaa