kila nikiwa na nyoa nywele sehemu za siri baada ya siku kama mbili natokewa na vipele ila kina kuwa kimoja kimoja vinaweza kutoka vipele kama vitatu baadaye kama baada ya wiki kama moja vinaisha je ni tatizo? au? maana vinaninyima raha?
Na huwa sirudii shavingmachine nikitumia mara moja basi.. Je nitatizo au sababu iko wapi na naomba unishauri nitumie dawa gani.