Kwa wale wanaopenda wanyama kama paka, naomba msaada kuna paka hapa nyumbani kala kitu kimemzuru, basi kila wakati hujiramba mwili wake non stop, na pia na manyoa yake hutotoka hivi je kuna dawa yoyote mnayoijua nikimpa itamfaaa? Namuona anapata tabu sana.
Ni kawaida ya paka kujilamba mara kwa mara, lakini kama non stop hapo siwezi kusema kitu. Dawa kubwa ya Paka ni kumpa chakula kilichopikwa hasa hivi vyakula vya proteins (jamii ya vitoweleo) kama samaki au nyama japo kidogo, atanawiri tu.