273
Member
- Sep 12, 2017
- 63
- 83
Habari wakuu
kwa muda mrefu nimekua nikisumbuliwa na maumivu ya kiuno na mgongo, kuwashwa njia ya haja kubwa, tumbo kuunguruma mara kwa mara na kujaa gesi na kichefuchefu.
kuna baadhi ya watu wananambia tatzo laweza kuwa amiba sugu:
please jaman kwa yeyote mwenye dawa iwe ya vidonge au kienyeji itakayoweza kutibu na kumaliza dalili tajwa hapo juu jaman anipm
pia mwenye dawa ya kusafisha tumbo either kwa kuharisha au njia yeyote tafadhali tusaidiane
SWALI........hivi yawezekana amiba sugu ikaja kupelekea ukosefu wa nguvu za kiume kama ispodhibitiwa?