Dawa ya Amiba na Typhoid sugu

273

Member
Joined
Sep 12, 2017
Posts
63
Reaction score
83
Habari wakuu

kwa muda mrefu nimekua nikisumbuliwa na maumivu ya kiuno na mgongo, kuwashwa njia ya haja kubwa, tumbo kuunguruma mara kwa mara na kujaa gesi na kichefuchefu.

kuna baadhi ya watu wananambia tatzo laweza kuwa amiba sugu:
please jaman kwa yeyote mwenye dawa iwe ya vidonge au kienyeji itakayoweza kutibu na kumaliza dalili tajwa hapo juu jaman anipm

pia mwenye dawa ya kusafisha tumbo either kwa kuharisha au njia yeyote tafadhali tusaidiane

SWALI........hivi yawezekana amiba sugu ikaja kupelekea ukosefu wa nguvu za kiume kama ispodhibitiwa?
 
Nenda kituo cha afya kwa vipimo zaidi, usihisi ugonjwa kwa dalili tu coz magonjwa ni mengi na baadhi huwa yanafanana dalili kwa asilimia kubwa
 
Wakati unajua saa kwenda hospitali kunywa maji mengi kama glass nane kwa siku pia jitahihi kula vyakula bye year fibre kama, ugali wa dona na mboga kama mchicha, kisamvu, matunda mananasi, apples, pears, na machungwa.

Maji husaidia digestion na has husababishwa na na vyakula unavyokula.
 
Ni field yangu, nenda kwa vipimo hospitali. Hakikisha unamuelezea vzr daktari matatizo yanayokusibu.

Sishauri utibu kwa kutumia pharmacognus (tiba ya mitishamba) kabla ya kuanza na hospitali. Amini tu, tatizo likigunduliwa utapona kabisa.

Jitahidi kufuata pia ushauri wa Sky Eclat upande wa vyakula.
 
Zama zimebadilika mkuu anzia hospitali kwanza ukumauone dactare kwa ushauri wa kitaalam na vipimo, baada ya majibu ndio utachagua njia yakujitibia ..
cc bw.machafuko
 
We vipiiiii unataka dawa ya nini wakati ujapima !!!! eti kuna watu wana niambia eti ni Amoeba or Typhoid sugu loh nyie ndio wale ambao mnafanya tunachelewa kwenye Tanzania ya viwanda.
 
Kwa hizo dalili inawezekana una typhoid au UTI..ila lazima uende kwa wataalamu wa afya ukapate vipimo,ili ujue ni nini exactly kinakusumbua..
 
vodca ulijaribu?
 
Mkuu ni pm nikupatie dawa ya mitishamba.. ila bei yake imechangamka. Only one week kwisha kabisa tatizo. Tshs 80000.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…