Habari!
Nna Mdogo wangu wa kiume ambae amekuwa akisumbuliwa na ameoba muda mrefu sasa! Amekuwa akienda hospital na kuandikiwa dawa ambazo zimekuwa zikimsaidia Kwa muda mfupi then tatizo linajirudia tena. Naomba kuuliza kwenu dawa gani nikimpatia itamponesha moja Kwa moja?
Swali kidogo: Una uhakika ni amoeba au dogo anaumwa ugonjwa mwingine? Hakikisha kwanza ni kweli anao hao minyooo au pengine unahitaji uchunguzi wa afya ya dogo kwa kina kuokoa maisha yake.
Swali kidogo: Una uhakika ni amoeba au dogo anaumwa ugonjwa mwingine? Hakikisha kwanza ni kweli anao hao minyooo au pengine unahitaji uchunguzi wa afya ya dogo kwa kina kuokoa maisha yake.
Nna uhakika kua ni ameoba! Amepima hospital mbili tofauti na kote vipimo vinaonesha kua ni ameoba, na hata dalili alizonazo ni za ameoba! Ila dawa ambazo amekua akipewa zimeshindwa kumsaidia!