Dawa ya ashki kwa wanawake inahitajika(libido boost medicine)

Dawa ya ashki kwa wanawake inahitajika(libido boost medicine)

Shadya9

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2014
Posts
241
Reaction score
71
Hello wakuu

Kabla sijajiunga na JF

Nimekua nikipitia nyuzi mbali mbali hapa jamii forum kwa kila jukwaa na pia niliona nyuzi mbali mbali kuhusiana na kukosa hamu ya tendo kwa Wanawake pamoja na kusoma comments za wadau mbalimbali

Lakin stil sijaona suluhu yaani dawa ya kuleta ashki iliyopimwa mamlaka ya afya na kuthibitishwa katika matumiz.....nkaona ni vyema nikajisajili JF na kutoa hii post huenda nkapata msaada juu ya hili tatizo langu hii ndio post yangu ya kwanza mm humu JF sio mgeni mara nying napita juu tú na kusoma yaliyomo nkaona ni vyema nkawa member kabisa

Jamani nahitaji dawa ya ashki kwa yoyote mwenye nayo anisaidie tafadhali.ama anielekeze zinapopatikana tafadhali

Najitahidi sana kumuomba Mwenyez Mungu juu ya hili tatizo ila bado sijapata dawa wala ufumbuzi ila najua Mungu ndio kila kitu.na ntapona ivyo kwangu Mwenyez Mungu ndio kila kitu

Njia nyingine

Nishaenda kwa psychologists but it doesn't.work.....nishaenda hospital but they told me I don't have any problem......nishachekiwa vipimo vya kila namna Sina jini mahaba wala nn na Sina stress zozote zile sababu naishi maisha mazuri sana ambayo kila mmoja angetamani ayapate

Lengo haswa la uzi huu nahitaji dawa tu nasio ushauri tafadhali naomba mnielewe.....nahitaji dawa ya ashki tú iwe ya mitishamba ama yoyote ile kikubwa iwe imethibitishwa kimatumizi

Kwa yoyote mwenye dawa ya ashki kwa Wanawake anipatie tafadhali ....sitaki jokes kua serious na kama huna mchango potezea tú

Nb nimeolewa na ndoa yangu bado ni changa!

Mwenye iyo dawa tujuzane.....Ahsanteni!
 
Kingine mme wangu ananiandaa vizur sana na ananifanyia mautundu ya kila namna but stil sipati ashki nampenda sana mume wangu na mawazo yangu yote hua yako pale tunapokua faragha but tatizo sipat hamu..nisaidieni wadau nampenda sana MUME WANGU NA NAITHAMINI SANA NDOA YANGU

Muelewe kua tangu nikue Sijawahi kupata ashki ata siku moja.....Sijawahi gombana na mtu sina shari na mtu yoyote yule msije mkaanza longolongo hapa nahitaji dawa tú kwa alienayo anijuze tafadhali
 
Labda swali tu lisaidie! Before hujaolewa ulikuwa the same au?
 
Mimi ni masikini wa mali na tajiri wa ashiki, katika maisha huwezi pata vyote mwingn atapata A mwngn B na mwngn C. Usilalamike sana muombe Mungu yeye ndie muweza wa yote.

Kweli mkuu Mwenyez Mungu hawez kukupa vyote........Ahsante kwa ushauri kwahiyo hakunaga iyo dawa ya ashki kwa Wanawake?nikubaliane na matokeo tu si ndio?
 
Labda swali tu lisaidie! Before hujaolewa ulikuwa the same au?

Yes mkuu angalia hapo chini nimefafanua tena
Sijawahi kupatwa na hizo hamu mpaka wenzangu walikua wakinishangaa ww ni mwanamke wa aina gani?lakn yote kwa yote nalia na Mungu tú
 
Mko kimya ndugu zangu
Mwenye hiyo dawa ama anaejua zinapopatikana anijuze tafadhali
Nahitaji dawa ya ashki tu!!!!!!!

Naamini niko kwenye jukwaa husika na ntapata suluhu kwa uwezo wa Mungu
 
Kama ulivyosema huna tatizo lolote kimaisha na huna stress yyte (kitu ambacho hakuna duniani!!) basi wewe si binadam halisi, labda robot. wala usipoteze muda wako kutafuta dawa.
anyway labda zipo maeneo ya 0713. je umejaribu huko!?
 
Ubarikiwe sana......ahsante!!!!!
 
Kingine mme wangu ananiandaa vizur sana na ananifanyia mautundu ya kila namna but stil sipati ashki nampenda sana mume wangu na mawazo yangu yote hua yako pale tunapokua faragha but tatizo sipat hamu..nisaidieni wadau nampenda sana MUME WANGU NA NAITHAMINI SANA NDOA YANGU

Muelewe kua tangu nikue Sijawahi kupata ashki ata siku moja.....Sijawahi gombana na mtu sina shari na mtu yoyote yule msije mkaanza longolongo hapa nahitaji dawa tú kwa alienayo anijuze tafadhali[/QUOTE

Tangu uwe hivyo umewahi kutumia dawa yoyote hata hizi zinazotangazwa kila siku?
Hata kama tbs hajapita jaribu zisipokusaidia achana na haya mambo fanya vingine mbona yapo mambo mengi tu yanayofurahisha zaidi ya kungonoka hasa kwa wenye pesa kama wewe
 
Pole mwaya kuna kahawa flani....pamoja na bablish za kuleta ashki.....pia kuna mafuta flani ya kupaka kwenye uke ya kizungu lakn yametengenezwa na blackseed ama habbat souda yaani ukiyapaka tú baada ya nusu saa ni balaa mumeo asiende mbali otherwise ni majanga inshort zipo dawa za kila aina kwa nchi za wenzetu zilizoendelea niliziona kipind nikiwa CND....Prince Edward Island

Ata kwahapa dar zipo chache tu baadhi japo kuzipata ni mbinde lakin nenda Maryrose Cosmetics Posta Samora Avenue nami nilikua nasumbuliwa na tatizo kama lako ila saiv kushney naenjoy ndoa yangu vizur tu....sasa jarib kwenda hapo ukikosa nijulishe nikupunguzie haya mafuta na soon nkisafiri ntanunua mengine mengi zaid

NB.......Mtegemee Mungu lia na Mungu....thamini sana ndoa yako naamini utapona tu!!!!!!!!!
 
Kingine mme wangu ananiandaa vizur sana na ananifanyia mautundu ya kila namna but stil sipati ashki nampenda sana mume wangu na mawazo yangu yote hua yako pale tunapokua faragha but tatizo sipat hamu..nisaidieni wadau nampenda sana MUME WANGU NA NAITHAMINI SANA NDOA YANGU

Muelewe kua tangu nikue Sijawahi kupata ashki ata siku moja.....Sijawahi gombana na mtu sina shari na mtu yoyote yule msije mkaanza longolongo hapa nahitaji dawa tú kwa alienayo anijuze tafadhali[/QUOTE

Tangu uwe hivyo umewahi kutumia dawa yoyote hata hizi zinazotangazwa kila siku?
Hata kama tbs hajapita jaribu zisipokusaidia achana na haya mambo fanya vingine mbona yapo mambo mengi tu yanayofurahisha zaidi ya kungonoka hasa kwa wenye pesa kama wewe

Hapana mkuu Sijawahi kutumia dawa yoyote ile nkiipata ntashukuru
 
Back
Top Bottom