Dawa ya ashki kwa wanawake inahitajika(libido boost medicine)



Shukran mkuu
 
Wanasema ni mafuta ya mchaichai kama sikosei ila kwa msaada zaidi tembelea hapa
MWANAMKE NA NYUMBA
ameeleza vizuri dawa ni za mitishamba zinazopatikana kwenye mazingira ya kawaida
kama unaweza kula pweza kula na samaki hasa wa ziwa victoria,punguza vyakula vya mafuta na vyakula vilivyo kobolewa
kula dona,kula parachichi,na jitahidi sana kuepuka chips
na uwakika utakuja kutuambia hapa imefanya kazi epuka vyakula vya sipemarket epuka
 

Ahsante sana mkuu
 
Mkuu vipi ulifanikiwa kupona tatizo lako? Tunategemea mrejesho kama shemeji sasa anapiga kazi mpaka nawewe unaenjoy.
 
Vipi mfumo wako wa kula ukoje? Hebu jaribu kubase sana na matunda
 
Jaribu kufanya yoga kwa sana yale special kwa increasing your libido,au tuseme sex drive,pia kama ulikua hufanyi mazoez anza kufanya mazoez,hope itakusaidia
 
Utakua ulizoea kujipiga finger siku za nyuma.. Tabia yenu ya kuchagua weeee wanaume ,ukakubali kujikorokochoa kidole eti kwakua mwanaume wa ndoto hujampata.. Ona sasa,... wanaojua madhara huwachukua hata houseboy kuwasha kipele. Hapo unahitaji fundi haswaaa anayejua kuyarudisha makali, kama mimi hapa... Ila kwa sasa niko busy ningeweza kukusaidia.. Lakini ukikosa kabisa nione ntajihidi hivyo hivyo kukusaidia, ntafanyaje sasa na mimi ndio nna huruma hivyo.
 
Teh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…