Ahsante mkuu nazihitaji waeza nipatia namba yako?maana kama ni.agent sioni kama itakua shida ukiweka namba yako hapa nkakutafuta
Sio tu ale kungumanga atwangiwe na mtu mzima kisha atiliwe kwenye uji tuone kama hakupata hizo Ashki za kumwaga.................kula kungu manga zinasaidia!una mapungufu ya hormones zozote nenda hospitali kacheki!!
Dawa ya Kuamsha ashki ya kike na ya kiume. Dawa yaHello wakuu
Kabla sijajiunga na JF
Nimekua nikipitia nyuzi mbali mbali hapa jamii forum kwa kila jukwaa na pia niliona nyuzi mbali mbali kuhusiana na kukosa hamu ya tendo kwa Wanawake pamoja na kusoma comments za wadau mbalimbali
Lakin stil sijaona suluhu yaani dawa ya kuleta ashki iliyopimwa mamlaka ya afya na kuthibitishwa katika matumiz.....nkaona ni vyema nikajisajili JF na kutoa hii post huenda nkapata msaada juu ya hili tatizo langu hii ndio post yangu ya kwanza mm humu JF sio mgeni mara nying napita juu tú na kusoma yaliyomo nkaona ni vyema nkawa member kabisa
Jaman nahitaji dawa ya ashki kwa yoyote mwenye nayo anisaidie tafadhali.ama anielekeze zinapopatikana tafadhali
Najitahidi sana kumuomba Mwenyez Mungu juu ya hili tatizo ila bado sijapata dawa wala ufumbuz ila najua Mungu ndio kila kitu.na ntapona ivyo kwangu Mwenyez Mungu ndio kila kitu
Njia nyingine
Nishaenda kwa psychologists but it doesn't.work.....nishaenda hospital but they told me I don't have any problem......nishachekiwa vipimo vya kila namna Sina jini mahaba wala nn na Sina stress zozote zile sababu naishi maisha mazuri sana ambayo kila mmoja angetamani ayapate
Lengo haswa la uzi huu nahitaji dawa tu nasio ushauri tafadhali naomba mnielewe.....nahitaji dawa ya ashki tú iwe ya mitishamba ama yoyote ile kikubwa iwe imethibitishwa kimatumizi
Kwa yoyote mwenye dawa ya ashki kwa Wanawake anipatie tafadhali ....sitaki jokes kua serious na kama huna mchango potezea tú
Nb nimeolewa na ndoa yangu bado ni changa!!!!!!!
Mwenye iyo dawa tujuzane.....Ahsanteni!!!!!!!!
Sio tu ale kungumanga atwangiwe na mtu mzima kisha atiliwe kwenye uji tuone kama hakupata hizo Ashki za kumwaga.................
Kungu Manga
mi nimefurahi ulivyorespod kwa michango hapa jukwaa.
hii ndio jf usipopona basi tena!
ila nakuomba ukipata dawa na sisi utushirikishe tuwape wake zetu.
ila mke wangu jamani amejaa stress tu
Dawa ya Kuamsha ashki ya kike na ya kiume. Dawa ya
kuamsha tamaa ya kufanya tendo la ndoa kwa mwanamke na mwanamme.
(1) Juisi ya tangawizi nusu kijiko pamoja na yai nusu iliochemshwa na Asali Safi Mbichi Ya Nyuki. Tumia kila siku kwa muda wa mwezi mmoja. (hii Dawa unaweza kutumia pia Mwanamme.)
(2)Mwanamke akitaka apate hamu ya tendo la ndoa wakati huo huo tafuta ZANJARI NA
NASHAADIRI kisha astanjii (ajioshe Papuchi yake) hapohapo atapata hamu yakufanya tendo la ndoa kwa mumewe.
Kuzipata hizi Dawa Nenda katika maduka ya dawa za Kisunna kaulize utapata
Kariakoo tumia kisha uje utupe feedback . Chanzo Mzizimkavu Hauchimbwi Dawa.
Ashki ya mwanamke ni kitu kigumu lakini ni rahisi pia.mwanamke akiwa katika msongo wa mawazo ya aina yoyote ile huwa anakosa kabisa hamu ya kufanya tendo la ndoa lakin akiwa huru kutoka katika msongo wa mawazo basi huwa na ashiki ya hali ya juu ambapo mwanaume inabid awe amejipanga kisawasawa.jaribu hiyo utaona matokeo yake.mafanikio mema