Dawa ya ashki kwa wanawake inahitajika(libido boost medicine)

Inawezekana hukawa na Pepo jini Mahaba,tena anakufanya usiwe na hamu ya kufanya mapenzi na huyo bwana yako!alafu inawezekana Pia una ugonjwa wa UTI wa kudumu pia inasababisha kutosikia hamu ya kufanya mapenzi....alafu jitahidi unapokuwa unafanya mapenzi na Mmeo concetration yako hiwepo tena yanye Mahaba mazito hili kujipagawisha!Kinyume na hapo hauna king'amuzi na km huna kamwe aski hutazisikia kwa watu,au hukiwa wafanya mapenzi mwambie hawe anasugua ------ au hakutie kidole cha ------ ashki hitakuja tu!

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
 



Ahsante!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
mi nimefurahi ulivyorespod kwa michango hapa jukwaa.
hii ndio jf usipopona basi tena!
ila nakuomba ukipata dawa na sisi utushirikishe tuwape wake zetu.
ila mke wangu jamani amejaa stress tu
Unafanye nae mapenzi kwa wiki mara ngapi? Dawa ya kuondosha mtu stress hii hapa Ale ndiz kwa wingi stress itaondoka yenyewe uwe unafanya nae mapenzi kila wiki mara 3 .

 
jitahidi kila siku ukitaka kukutana na huyo mumeo kunywa amarura au zanzi sio dawa lakini itakuwa inakusaidia sana, kunywa taratibu baada ya nusu saa au lisaa limoja utaona matokeo. jaribu harafu uje utoe feedback hapa au niPM

Kilevi nomaa!! utatemtegemeaje mungu huku unapiga ulabu.?? Mie nashauri kwenye vyakula tu jamii ya nafaka, ndizi bukoba, chai ya tangawizi mdalasini na asali, ale chakula cha nafaka zisizokobolewa jamii ya ngano brown ama ulezi, mbogamboga bamia nyanya chungu n.k na kingine atulize akili yake tu taratibu vyote vitamfika na atafurahia mapenzi na mume wake.
 

Ahsante kwa ushauri mkuu
 
Pole mdada. Ungekkua mnywaji ngekwambia unywe wine kama saint Anne japo kidogo tu kabla ya game. Itakunyegelesha asee balaa.
 
Pole Dada. Hayo matatizo wanayo wengi sana ila tatizo kuwa wengi hawajitokezi na kueleza wazi kama ulivyo fanya wewe. Hili tatizo hutokea kwa wanaume na wanawake pia. Kwa wanaume huwa mbaya zaidi kwani hata ndoa huweza kuyumba kwani mwanandoa mmoja huweza kumfikiri mwingine vibaya kwamba anamalizi kwingine nk. Kwa wanawake huwa wanavulia na kumwacha mwanaume kama yupo safi afurahie tendo hilo peke yake. Ukweli tendo la ndoa kwa waliooana limewekwa ili wote mlifurahie na hivyo kuleta upendo na mshikamano na ndoa yenu itadumu. Tatizo hili laweza kusababishwa na mengi mojawapo kama walivyo eleza hapo juu. kwa vile umesema ulisha kwenda hospitali na wanakwambia huna tatizo labda nikwambie inawezeka huna tatizo la strees au kisakolojia ila tatizo laweza tokana na lishe, kwa maana kuna virutubisho au madini mwilini yanavyosaidi mwili kuleta hamu ya mapenzi/mahaba (libido)huwa vimekosekana na kusababisha tatizo hili. Mimi ni member wa forever living tuna bidhaa zinazoongeza hamu ya mapenzi kwa mwanamke na mwanaume pia.Mimi mwenyewe nazitumia pia na najua matokeo yake. Mfano wa bidhaa hizi ni kama Martmarca na Alg + . hizi hutumika kwa wote wanaume na wanawake. Ukitaka maelezo zaidi ntafute ntakupa maelezo zaidi mobile no +255 756 514 644/715 514 644 or email: apronius2000@yahoo.co.uk.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…