Dawa ya ashki kwa wanawake inahitajika(libido boost medicine)

pole sana mamie binadamu tumeumbwa na maumbile tofauti ila naomba kuuliza kwa hyo wewe hujawahi kufika kilele cha maraha au ni ashk tu ndo huna utamu unapata kma kawaida?
Nashukuru kwa kuchangia mamy
 
Ahsante sana kwa mawazo yako yenye busara mkuu ntajitahidi kuyafuata kadri M Mungu atakavyoniwezesha
 
Nenda sokoni utafute dawa za wamasai za uzazi....utapata hamu saana
 
tunasubili mrejesho , make ni mambo mengi umeshauliwa uyafanye, ikiwa ni pamoja na dawa ya mzizi kavu hauchibwi uliyoelekezwa kuwa ipo maeneo ya kaliakoo.

tupe majibu ,Dada na sisi tunufaike.
 
tunasubili mrejesho , make ni mambo mengi umeshauliwa uyafanye, ikiwa ni pamoja na dawa ya mzizi kavu hauchibwi uliyoelekezwa kuwa ipo maeneo ya kaliakoo.

tupe majibu ,Dada na sisi tunufaike.

Ondoa shaka kaka kua na subra ntarudi kutoa feedback
 
Nilipata tatizo kama hilo, ila nilikuwa sawa baada ya kunywa mdalasini na asali asubuhi na jioni kwa muda wa mwezi, ni nzuri sana.

Hiyo dawa ni nzuri sana hata mimi nilitaka nimshauri atumie hiyo, akichanganya habat sawda kidogo.

cc Shadya9
 
Last edited by a moderator:

Ni PM maybe I can help u
 
Dawa ipo ninadawa nzurisana za ashirki kwa wanaume na wanawake ni dawa ya mitishamba ni nzurisana.inaleta msisimko wa ajabu ndani ya mwili na kuleta hamu kubwa ya kufanya tendo la ndoa na kuleta raha ya ajabu ndani ya mwili kiukweli utaipendasana.kama unaitaji ntafute 0759217720
 
Agiza Germany Sex drops on line kama una ATM card yenye Visa au Mastercard au agiza kupitia jamaa wanaokwenda Europe au USA
 
Agiza Germany Sex drops on line kama una ATM card yenye Visa au Mastercard au agiza kupitia jamaa wanaokwenda Europe au USA

Ahsante kwa ushauri mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…