Dawa ya asili kwa ajili ya homoni

Dawa ya asili kwa ajili ya homoni

Brown ad

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2012
Posts
345
Reaction score
204
Ndugu zangu naombeni msaada kwa anayejua dawa za asili kwa ajili ya homoni au mahala inapouzwa maana nna tatizo la siku zangu kutokua na mpandilio mzuri na hospitali wameniambia nna tatizo la homoni na dawa wanazonipa ni zile za uzazi wa mpango na nna sikia zina madhara na nnaogopa nisije nikashindwa kuzaa!
 
homoni unamaanisha nini hasa?
Dawa za uzazi wa mpango nazo ni homoni sasa unatafuta kitu gani tofauti?
 
Mkuu Brown ad,

Sasa wakati mwingine ni ngumu kweli kuelewa...yaani ulienda hospitali kisha, ukaambiwa tatizo, then hutaki kutumia dawa(kwa sababu "unahofu" usihe kuzaa)..sasa kwani daktari wako alikushaurije?
Unajuaje kama zitakufanya "usizae"? ni dawa kiasi na kwa muda gani hadi kufanya kiwango hicho kufika?
-Halafu unaposema hormones(vichochezi), ni ipi/zipi unazoongelea?

anyway mkuu MziziMkavu, ukiweza njoo na tiba asili ya hii kitu!
 
Last edited by a moderator:

Mkuu hippocratessocrates Dawa za Kiasili zipo ila bibie.@Brown ad kutokana na maelezo yake juu amesema vitu 2 kwa wakati mmoja.Kasema Dawa za uzazi wa mpango na Hormoni kama alivyoulizwa swali na mkuu.@Tausi Mzalendo atujibu anataka Dawa za Uzazi wa mpangilio au anataka Dawa ya kutibu
Hormones? Akijibu swali aliloulizwa na Bi Tausi Mzalendo ndio tunaweza kumpa Dawa asante mkuu.
 
Samahani kwa kuwachanganya, nahitaji dawa ya homoni(vichocheo)
kuhusu ivyo vidonge vya uzazi wa mpango nilipewa kama tiba sasa nilikuwa nahitaji kama ipo dawa ya asili ya hizo homoni
 
Mimi pia nilikuwa na tatizo la homoni ila nadhani lilikuwa la muda mfupi.Pia nilienda hospitali nikashauriwa ninywe dawa za uzazi wa mpango kwa miezi 3.Na ukiacha utashika mimba.Nilikunywa dawa za nyumbani (Kienyeji).Kama upo Dar ni PM nikupe namba ya huyo mama aliyenisaidia.
 
Mpigie simu tabibu John Tulla atakusaidia.

Namba yake ni 0787 426242.

Tatizo lako lina wagonjwa wengi. Linatibika.
 
Mimi pia nilikuwa na tatizo la homoni ila nadhani lilikuwa la muda mfupi.Pia nilienda hospitali nikashauriwa ninywe dawa za uzazi wa mpango kwa miezi 3.Na ukiacha utashika mimba.Nilikunywa dawa za nyumbani (Kienyeji).Kama upo Dar ni PM nikupe namba ya huyo mama aliyenisaidia.

Mkuu nina shida ya izo dawa nahitaji ili nipate mtot nisaidie namba ya uyo mama
 
Back
Top Bottom