muone mzizimkavu atakus
PRETA NIPE NAMBA YAKE
m-PM ni member wa JF
I m very sorry kwa ushauri huu,ila imenibidi kuutoa na natanguliza samahani.Kama katika uzao wenu hamna tatizo na bangi basi mvutishe ni dawa nzuri sana lakini kuna wengine ambao wakijaribu huharibika akili kwa hiyo usijaribu kama hakuna mtu wa karibu na wewe anayetumia mmea huo na hajaharibikiwa maana kuna wengine wanazitumia lakini huwezi hata kuwahisi.
Du PakaMweusi una uhakika na tiba hii!!I m very sorry kwa ushauri huu,ila imenibidi kuutoa na natanguliza samahani.Kama katika uzao wenu hamna tatizo na bangi basi mvutishe ni dawa nzuri sana lakini kuna wengine ambao wakijaribu huharibika akili kwa hiyo usijaribu kama hakuna mtu wa karibu na wewe anayetumia mmea huo na hajaharibikiwa maana kuna wengine wanazitumia lakini huwezi hata kuwahisi.
Tatizo litakuwa limeisha akiwatafuta hao uliomshauri.Mtoto ana umri gani? Kama ni chini ya miaka 5 subiri afikishe miaka mitano then uangalie kama bado anasumbuka na hiyo PUMU. Watoto wangu miye huwa wana pumu lakini dr. akaniambia nisubiri wafikishe miaka 5 halafu ndio atanishauri nitumie tiba mbadala, you cant believe huyu mkubwa ambaye sasa ana miaka minne imepotea kabisa. Ila huyu mdogo bado kidogo lakini ameimprove sana. Ndugu zetu wahaya huwa wana dawa nyingi sana tafuta mhaya akusaidie au nenda kwa Dr. Rahabu yupo Buguruni petrol station pia kuna mganga ameandika anatibu pumu na meno hapo makumbusho nasikia naye ni mzuri.