kalikumutima
Senior Member
- Oct 9, 2014
- 147
- 46
Kuna jamaa yangu alikuwa anaumwa figo na kama unavyojua kipato cha watz kipo chini alishauriwa aende Nairobi basi ktk kuhangaika akambiwa kuna Mzee anajua tiba hiyo kwa vile mtu ana shida hakudharau akaenda kumuona huyo Mzee yupo Chanika leo nimekutana nae yupo fresh kabisa wakati miezi miwili nyuma alikuwa amevimba mwili.ktk maelezo yake kasema huyo Mzee anatibu na asthma so jamani kama kuna mtu ana ndugu yake anasumbuliwa na magonjwa hayo ampgie huyo mzee atamwelekeza namna ya kumsaidia.namba yake ni 0755547057