Najijua JF-Expert Member Joined Nov 5, 2010 Posts 1,040 Reaction score 182 Apr 28, 2011 #1 wadau naomba kuuliza ikiwa dawa ya babu wa Loliondo ni sumu na ina madhara Tanzania itakuwa na viongozi wangapi salama?idadi ya raia itabaki million 40 na zaidi kama ilivyo sasa?
wadau naomba kuuliza ikiwa dawa ya babu wa Loliondo ni sumu na ina madhara Tanzania itakuwa na viongozi wangapi salama?idadi ya raia itabaki million 40 na zaidi kama ilivyo sasa?
Ndachuwa JF-Expert Member Joined Mar 8, 2006 Posts 6,269 Reaction score 4,579 Apr 28, 2011 #2 Nafasi nyingi zitakuwa wazi na hii itatoe fursa kwa wengine kujipunguzia kiwango cha umaskini
Najijua JF-Expert Member Joined Nov 5, 2010 Posts 1,040 Reaction score 182 Apr 29, 2011 Thread starter #3 nadhani kiwango cha umaskini kitaongezeka badala ya kupungua fikiria mara mbili mkuu
Absolute JF-Expert Member Joined Jan 19, 2007 Posts 333 Reaction score 62 Apr 29, 2011 #4 Mara ya kwanza nilishtuka sana.... kuja kuisoma hii post vizuri nikashtukia kuwa ni imaginations!!!!!
Mara ya kwanza nilishtuka sana.... kuja kuisoma hii post vizuri nikashtukia kuwa ni imaginations!!!!!