wadau hapa mtaani kwetu kuna mganga wa kienyeji kutoka simbawanga anadai anarudisha bikra wa madada wote walio poteza
et kweli wadau inawezekana??????/
au anataka kuwatapeli pesa zao
Kama ilishatolewa unadhani itarudije,kupitia huo upupu wa mganga.Achana nae anapotosha wakina dada mwishowe wataumbuliwa na jamaa zao bure.Niuongo hapo mkuu!