Dawa ya chango la tumbo kwa watoto wadogo

bank

Senior Member
Joined
Jan 9, 2011
Posts
158
Reaction score
24
Habarini wana JF,

Naomba mwenye kujua jinsi ya kutibu chango la tumbo kwa watoto wadogo.Mtoto wangu ana miezi miwili anasumbuliwa sana na tumbo,huwa anajisokota na kulia muda mwingi na anataka abebwe tu.

Hospital wanasema itaisha tu yenyewe.

Msaada tafadhali
 

pole sana ni wa kike au kiume na unaishi wapi ?
 

Pole sana,binafsi na-deal na michango aina yote kwa dawa za asili(herbs).Napatikana Shinyanga na kwa mawasiliano zaidi nipo hewani kwa nambari 0759 947 397.Tofauti na michango,na-deal pia na matatizo mengine kama kuchanganya siku kwa kina mama(menstrual irregularities),kuzuia mimba isiharibike(miscariages),choo kuwa kigumu(constipation),tumbo kujaa gesi...n.k.

KARIBUNI SANA SHINYANGA.
 
Ni wa kike.Naishi DSM Ndugu
 

Sasa wa DSM Ngoja tuendelee kutumia Cripe water japo hayatibu
 
Ni wa kike.Naishi DSM Ndugu

sawa nenda ktk duka lolote la dawa za asili maeneo ya kariakoo kanunue dawa inaitwa muru inauzwa sh.500 muuzaji atakupa maelekezo ya jinsi ya kutumia na mie nitakupa maelekezo zaidi
 
Tafuta mzizi wa ndulele chemsha mpe kijiko cha chai asubuhi na jioni. Pia umchue tumbo na mafuta ya nazi, unayapaka mikonini kisha unaipasha mikino kwenye jiko la mkaa alafu unamchua tumba taratibu na kiunoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…