Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
pumzika tu mamy chunusi za ujauzito hazitokagi matter of time ukijifungua zitaondoka zenyewe kwa sababu zinasababishwa na hormonal imbalances hata upake nn hazitokiJaman nina chunusi hadi zinapandiana, sikuwahi kuwa nazo kabla ila nadhan zimetokana na ujauzito, kama kuna mtu anajua dawa, muda mwingine hadi natamani nisitoke nje.
Karbu nikusaidie dadaJaman nina chunusi hadi zinapandiana, sikuwahi kuwa nazo kabla ila nadhan zimetokana na ujauzito, kama kuna mtu anajua dawa, muda mwingine hadi natamani nisitoke nje.