Dawa ya chunisi kwa mjamzito

Lenyox

Senior Member
Joined
Dec 7, 2011
Posts
174
Reaction score
360
Jaman nina chunusi hadi zinapandiana, sikuwahi kuwa nazo kabla ila nadhan zimetokana na ujauzito, kama kuna mtu anajua dawa, muda mwingine hadi natamani nisitoke nje.
 
pumzika tu mamy chunusi za ujauzito hazitokagi matter of time ukijifungua zitaondoka zenyewe kwa sababu zinasababishwa na hormonal imbalances hata upake nn hazitoki
 
Dawa na tiba ya chunusi za ujauzito ni kutoa mimba tu. Believe me ndani ya siku14 unakua na ngozi soft
 
Jaman nina chunusi hadi zinapandiana, sikuwahi kuwa nazo kabla ila nadhan zimetokana na ujauzito, kama kuna mtu anajua dawa, muda mwingine hadi natamani nisitoke nje.
Karbu nikusaidie dada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…