Dawa ya Corona yatapatikana Tanzania, mataifa ya nje waiagiza kwa fujo

Dawa ya Corona yatapatikana Tanzania, mataifa ya nje waiagiza kwa fujo

spencer

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Posts
3,599
Reaction score
3,226
So Magufuli was right.

Waafrika tumefanya maajabu makubwa ktk kipindi ambacho dunia nzima imechanganyinkiwa. Tumshukuru Sana
Wenyezi Mungu.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndo maana inaelekea kuisha bongo
Kuna mambo mengi yanaendelea underground na wagonjwa wote kwishney.

Wamebakia wachache ambao walikuwa na maambukizi ya ziada.

Dawa za mitishamba ni tiba ya ukweli.

Nina mdogo wangu anasoma India kaniambia dawa zaidi ya 90% zinapatikana ktk mimea. Na huyu ni mkemia ambaye yuko ktk moja maabarà bora z kufundishia Duniani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom