Kuna mambo mengi yanaendelea underground na wagonjwa wote kwishney.
Wamebakia wachache ambao walikuwa na maambukizi ya ziada.
Dawa za mitishamba ni tiba ya ukweli.
Nina mdogo wangu anasoma India kaniambia dawa zaidi ya 90% zinapatikana ktk mimea. Na huyu ni mkemia ambaye yuko ktk moja maabarà bora z kufundishia Duniani