Dawa ya deni ni nini kwani

Dawa ya deni ni nini kwani

Nyanda Banka

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2023
Posts
304
Reaction score
1,054
Kwanini Bongo ukimkopesha mtu siku ya kumdai inabidi utafute sababu na matumizi na maelekezo ya kwanini unaitaka pesa yako

Je hii ni halali kweli yani pesa ni yangu na bado nilazimike kutunga uongo
 
😅😅😅 kuna jamaa nilikua namdai acha anizungushe mpaka simu hapatikani ikabidi nimcheki kwake na sms juu namuonyesha kuwa na mimi nadaiwa🤣
 
Dawa ya deni ni kukata mawasiliano na anaekudai..☹️
 
Back
Top Bottom