Nyanda Banka
JF-Expert Member
- Mar 14, 2023
- 304
- 1,054
Kulipa
Yani hii ndo changamoto sana MTU kwenye kukopa anatia huruma sana ila wakati wakulipa kiburi kinajaa😅😅😅 kuna jamaa nilikua namdai acha anizungushe mpaka simu hapatikani ikabidi nimcheki kwake na sms juu namuonyesha kuwa na mimi nadaiwa🤣
Utasikia kama sina nifanyaje sasa🤣🤣Yani hii ndo changamoto sana MTU kwenye kukopa anatia huruma sana ila wakati wakulipa kiburi kinajaa
Kuna wakati unakopesha ili kupunguza marafiki wasio na maanaYani hii ndo changamoto sana MTU kwenye kukopa anatia huruma sana ila wakati wakulipa kiburi kinajaa
Unaweza piga mbataUtasikia kama sina nifanyaje sasa🤣🤣
Hii haikubaliki ata kidogoKwa wanawake walio wengi...dawa ya deni ni kukupa mbususu
Na kukopa nako kunahitaji moyo gani?Kulipa deni kunahitaji moyo wa kipekee sana.
Usikopeshe wanawake mzeeHii haikubaliki ata kidogo