phojamhone
Member
- May 18, 2014
- 26
- 4
WanaJF ambao mmeshawahi kutumia vidonge hivyo, naomba kujua kutoka kwenu kwa maslahi ya wengi kama ni kweli unaweza kuchelewa kwa kutumia hizo.
Pili, haina madhara kwa afya?
Nilisikia tu kutoka kwa vijana waliokuwa wanaizungumzia kijiweni. Pia nimeileta hapa baada ya kuona post nyingi zinazohusiana na matatizo ya nguvu za kiume hivyo kama kuna wazoefu wanaweza kushauri iwe sehemu ya suluhisho kama kweli zina uwezo huo.