M mirry kirungi Member Joined Jul 21, 2023 Posts 5 Reaction score 2 Sep 15, 2023 #1 Habari wapendwa mwenye kujua dawa ya gesi na acid anielekeza kwani za hospitali hazinisaidii nabeua sana
Habari wapendwa mwenye kujua dawa ya gesi na acid anielekeza kwani za hospitali hazinisaidii nabeua sana
Kidagaa kimemwozea JF-Expert Member Joined Jul 13, 2018 Posts 3,680 Reaction score 6,554 Dec 16, 2023 #2 Tibu vidonda vya tumbo