Albedo JF-Expert Member Joined Feb 24, 2008 Posts 5,558 Reaction score 1,456 Oct 9, 2012 #1 Wadau habarini Nina matatizo ya kutoa gesi tumboni(bloating). Wataalam mnisaidie maana nimetumia Unenzyme lakini haijasaidia. Cc Riwa Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Wadau habarini Nina matatizo ya kutoa gesi tumboni(bloating). Wataalam mnisaidie maana nimetumia Unenzyme lakini haijasaidia. Cc Riwa
Fyong'oxi JF-Expert Member Joined Sep 13, 2012 Posts 266 Reaction score 72 Oct 9, 2012 #2 wewe ni mnywaji wa pombe?
Albedo JF-Expert Member Joined Feb 24, 2008 Posts 5,558 Reaction score 1,456 Oct 9, 2012 Thread starter #3 Fyong'oxi said: wewe ni mnywaji wa pombe? Click to expand... Mara yangu ya mwisho kunywa pombe ilikuwa mwaka 1990 tena Mbege kule mgombani
Fyong'oxi said: wewe ni mnywaji wa pombe? Click to expand... Mara yangu ya mwisho kunywa pombe ilikuwa mwaka 1990 tena Mbege kule mgombani
N Ngahekapahi JF-Expert Member Joined May 8, 2012 Posts 553 Reaction score 367 Oct 9, 2012 #4 Tafuta Alumag(viscid) gel mkuu na unywe 10 mls kila baada ya masaa nane hali ikiendelea njoo hospitali.
Tafuta Alumag(viscid) gel mkuu na unywe 10 mls kila baada ya masaa nane hali ikiendelea njoo hospitali.
Fyong'oxi JF-Expert Member Joined Sep 13, 2012 Posts 266 Reaction score 72 Oct 10, 2012 #5 Albedo said: Mara yangu ya mwisho kunywa pombe ilikuwa mwaka 1990 tena Mbege kule mgombani Click to expand... Hata mimi niliwahi kuwa na matatizo ya gesi na kiungulia.Dr aliniambia sababu ni pombe!Nilifanyiwa vipimo vingi kabla ya dawa! Nakushauri pia usianze kutumia madawa kabla hujaonana na daktari mtaalamu wa tumbo!ili ajue ukubwa wa tatizo lako.
Albedo said: Mara yangu ya mwisho kunywa pombe ilikuwa mwaka 1990 tena Mbege kule mgombani Click to expand... Hata mimi niliwahi kuwa na matatizo ya gesi na kiungulia.Dr aliniambia sababu ni pombe!Nilifanyiwa vipimo vingi kabla ya dawa! Nakushauri pia usianze kutumia madawa kabla hujaonana na daktari mtaalamu wa tumbo!ili ajue ukubwa wa tatizo lako.