Mshangazi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 1,143
- 4,462
Wakuu imezoeleka kwamba mtu unapoamka asubuhi na hang_over au mning`inio kwa kibantu basi watu wengi hukimbilia supu ya nyama makongoro au miguu ya wanyama walao nyasi.
Kiuhalisia supu ya nyama peke yake haitoi mning`io. Unachotakiwa ni KUTAFUNA NDIZI na kumeza mchuzi wake kwa takribani dakika 30 hadi 40 na hapo hang~over lazima ikuache.
NB. Usisahau ni ndizi moja au mbili tu zinatosha. Kutegemea na upatikanaji wa ndizi eneo ulilopo.