Wakuu naomba kuuliza kama kuna dawa yoyote ya hasira.
Kwani sasa hivi nimekuwa na hasira ambazo nashindwa hata kujua chanzo chake ni nin?
Kwani nimekuwa sitaki au kusikia mtu yeyote akiongea mbele yangu au kunisemesha.Mpaka niandikapo post hii nishagombana na watu zaidi ya 7 kwenye simu na wa usoso kwa uso hawahesabiki.
Naomba msaada wenu wataalam hali hii huweza sababishwa na nin na tiba yake ni nin??

we nenda mirembe, ni pm 4n namba yako nku2mie nauli na matibabu via m pesa, tgo pesa etc!
punguza mawazo,pata muda wa kutosha wa kupumzika,chukua filam za luv story uangalie ikiwezekana hata picha za watu wakubwa japo sijui umri wako.usikae peke yako.ukifungua jf nenda jukwaa la mahusiano na mapenzi usiende kabisa jukwaa la siasa.wewe una stress labda za ugumu wa maisha na ukiendekeza mawazo ya kutaka umilionea wakati msosi wa mchana tu mbinde uta under go crazy.
Jongoo halipandi mtungi?.... basi hiyo ni sababu tosha, pata kojo mkuu, stress zote zitaisha.mkuu nashukuru tatizo tv sijaangalia nakama zaidi ya miez 8 hivi na siyo mpenz kabisaa nilikuwaga mpenz wa kucheck mpira lakin kwa mda sasa nao umenitoka kabisaa.
Jukwaa la mahusiano huwa halipandi kabisaa yaani mambo ya mapenzi mapenzi yamepita kushoto.
Jongoo halipandi mtungi?.... basi hiyo ni sababu tosha, pata kojo mkuu, stress zote zitaisha.
Hao watu saba ni kwa muda gani? miezi, wiki, siku, masaa?
Kama hutaki kuona mtu basi kaa peke yako, usione mtu. Jaribu meditation ujue hasira yako inatoka wapi, na uitulize.
Ukitaka naweza kukupa jina la member humu humu atakusaidia via PM kwa kukuelekeza namna ya kufanya hizo meditations.
Usidharau ushahuri wa kuelekea kwa psychiatrist.
mkuu jongoo linapanda mtungi kama kawaida
ila semaga nikitambo kimepita sija DO na sinaga mpango wa wanawake naona kama wananitibua brain yangu.
Tatizo ndo lipo hapooo...sasa hao wanawake ndo watairudisha hiyo brain yako na si kuitibua ka ufikiriavyo...full stop...