Dawa ya Jeuri ni Kiburi

Red Scorpion

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2012
Posts
5,736
Reaction score
4,252
Mzungu alipita na nyani wake karibu na muuza ndizi,nyani akapora ndizi akala muuzaji akamaindi,mzungu akasema unamaind nini wakati ndizi kala ndugu yako?mzungu akaondoka aliporudi akakuta nyani wake kafa akauliza nani kamuua nyani wangu? Muuza ndizi akajibu hayakuhusu ni mambo ya kifamilia...[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Hahahahaha umetisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…