k-star
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 541
- 388
Habari zawakati huu ndugu popote ulipo, naomba niende kwenye mada moja kwa moja. Kwa yeyote anayefahamu dawa yakutuliza maumivu ya jino yani lisiume kabisa bila kuling'oa naomba anisaidie nitumie nini maana nimeng'oa mpaka nahisi naweza maliza na kuwa kibogoyo.
Please msaada/mchango wako ni muhimu sana kwangu mimi pamoja na wanajukwaa wengne karibuni kwa mchango.
Please msaada/mchango wako ni muhimu sana kwangu mimi pamoja na wanajukwaa wengne karibuni kwa mchango.