Dawa ya Joto pale TANESCO wanapokuwa hawapo hewani

Joined
Apr 6, 2015
Posts
50
Reaction score
45
Kampuni ya TESOTEK inazo feni za kuchaji ambazo ni suluhu ya tatizo la joto linalowakumba watu wengi pale umeme unapokuwa umekatika. Feni hizi huendelea kufanya kazi kwa muda wa saa tano hadi sita toka umeme ulipokatika. Zipo aina mbalimbali kama vile tablefans,stand fans,celing fans na wall fans. Na pia fans hizi zina taa ili kukuwezesha kuendelea kupata mwanga hadi umeme unapokuwa umerejea.

Tunakaribisha wafanyabiadhara wanaotaka kuwa mawakala wa Wilaya au Mkoa. Kwa mawasiliano zaidi tupigie: +255787200080 au tutumie email: mtani@tesotek.com
 
kapicha ajentiiii, hasa nilitaka kujua betri zake zina ukubwa gani
 
Hebu weka na bei kabisa.Kama itakua kweli basi itakua vizuri maana nyie wafanya biashara maneno mengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…