love more than100
JF-Expert Member
- Jan 27, 2014
- 2,061
- 715
Hellow members&drs! Poleni na majukumu ya kifamilia,binafs,serikali,chama nk.
Am single lady of 30's najua wengine watashangaa but ndio hivyo.. by the way sicho nachotaka kukiombea msaada laah asha!
Wapendwa shida yangu ni kuvimba popote ntakapoumia mimi ni shiiidaa lazima paumuke kama ni kujigonga maumivu yale na kidonda hakijatokeeza baasi patavimba na kuwa peusi na maumivu juu, nilitoga masikio ukubwani tuu when i was 16's yrs basi kwa bahati nzr wkt natogwa ni nilipelekwa sonara na nikanunuliwa hereni za gold nimeendaaa kwenye 2008 nikashawishika kutoga tundu la pili ili nivae 2prs ya heren baasi 2010 nikaanza kuvimba naenda hosp wanakata yaani mpk dk hii masikio nimevimba na ni ya kukata tena huo uvimbee na hereni nimeacha kuvaa tangu 2012 ila nakata na hereni sivai zozote bado tuu yanavimba. Nilishakwenda hosp kama k.c.m.c na nikafanyiwa mpk mionzi lkn waapi, kuna dk m1 wa kihindi hapa Ar anaitwa Gullet naye Jan 3 mwaka huu akanikata akisema anatumia kisu ya moto ila waapi saa hizi nundu lishaota kubwa kuliko alilokata. In short bado naomba msaada niambiwe kama kuna dawa au matibabu gani na wapi nifanyiwe kuondoa. Am serious pls