Dawa ya kichomi msaada tafadhali

Mtandaoni

Senior Member
Joined
Jul 22, 2013
Posts
132
Reaction score
64
Jamani wapendwa jf DOCTOR naombeni kwa hili nitumie dawa gani ili nijinusuru kwani kinauma hasa upande palipo na moyo ikiamua kuuma napata shida sana kwani hata kuvuta pumzi huwa shida, niko kwa kusubir ushauri.
 
kama unamaanisha hearbun/kiungulia basi tumia omeprazole.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…