Mtagwa lindi
JF-Expert Member
- Mar 12, 2012
- 311
- 96
asante mkuuTafuta silverex/burnox. Pia Kuna dawa moja inaitwa mebo ointment iko poa. Nimeuguza mwanangu miezi 6 shida ya Moto asikwambie mtu. Ni hatari
Sent using Jamii Forums mobile app
Matibabu mengi ya kienyeji ni ya kubahatisha, Mara sijui dawa ikukubali, na wakati mwingine inaongeza tatizo. Wewe hicho kijeraha chako ni kidogo tafuta tu matibabu.
sawaMatibabu mengi ya kienyeji ni ya kubahatisha, Mara sijui dawa ikukubali, na wakati mwingine inaongeza tatizo. Wewe hicho kijeraha chako ni kidogo tafuta tu matibabu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari wakuu nimeungua hapo na pasi niliona kawaida ila pamekuwa noma dawa gn ya asili au hospitali nzuri papone View attachment 1011171
Sent using Jamii Forums mobile app
asante mkuuNi vema uende hospitali kidonda kikasafishwe upewe antibiotics zinazohusika ni kidonda ambacho kisipoangaliwa kinaweza kukuletea madhara makubwa sana boss
Sent from my iPhone using JamiiForums
Duu poleHabari wakuu nimeungua hapo na pasi niliona kawaida ila pamekuwa noma dawa gn ya asili au hospitali nzuri papone View attachment 1011171
Sent using Jamii Forums mobile app