Dawa ya kienyeji ya kukinga kideri cha kuku

Jogoo10

Senior Member
Joined
Jul 22, 2014
Posts
100
Reaction score
11
Natanguliza heshima kwenu, kwa anaejua dawa ya kienyeji ya kukinga mdondo. Mimi nafuga kuku wa kienyeji, kwa anae jua msaada tafadhali.
 
mkuu usinikumbushe hii kitu.nilimaliza kuku banda nzima hapa dar more than 80+ kuku.kimsingi unatakiwa kuku uwape dawa mapema (wakiwa vifaranga ndani ya miezi mitatu ya mwanzo)na kama hukufanya hivyo mapema usitegemee miujiza zaidi ya kunoa kisu.
 
mob kama dawa ni feki pia kisu lazima
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…