Ugonjwa wa kisukari unastage zake
Mfano stege ya awali inaweza kutibika kwa dawa maalumu yaani Natural artificial
NB: hapa siwezi kusema dawa kabisa maana kunawaganga njaa ila dawa naijua inatibu vizuri tuu
Kiufupi nimekuwa mtafiti wa dawa asilia zaidi ya miaka sasa zoezi hili nilikuwa nawashirikisha wazee,nimeweza kufahamu dawa ambazo zinaweza kutibu maradhi hatari
Mfano: dawa za baadhi ya kansa especially
Kansa ya koo,kansa ya vidonda kwa jina jingine wanasema vidonda visivyo pona,Kansa ya ubongo au wanaita Kansa ya ubongo,kansa ya uzazi yote haya nilikuwa siamini kama kweli kansa inatibika kwa mitishamba ila nimeprove Mimi mwenyewe