Bonge la treak, jamaa stage ya pili lazima alipungua kilo 20 hahaha
Nguli hii ni noma, Kimbweka..... nashindwa ku imagine huyu jamaa hiyo stage ya pili ilikuwage maana lilikuwa ni bonge la trick, nadhani hajawahi kukutana na mtihani kama huo maishani mwake .. to be fkd
Tripo9 mbona kama unalijua suluhisho la tatizo lako??? Anza mazoezi ya kukimbia asubuhi kama kilomita 50 kwa siku, ni simple and affordable!!
Matokeo utayaona mapema sana. Usikubali mtu akikwambia punguza kula, labda vyakula vya mafuta na sukari kama bia, soda and chocolates!!
tripo9 mbona kama unalijua suluhisho la tatizo lako??? Anza mazoezi ya kukimbia asubuhi kama kilomita 50 kwa siku, ni simple and affordable!!
Matokeo utayaona mapema sana. Usikubali mtu akikwambia punguza kula, labda vyakula vya mafuta na sukari kama bia, soda and chocolates!!
Ur what you eat!
Tripo9 mbona kama unalijua suluhisho la tatizo lako??? Anza mazoezi ya kukimbia asubuhi kama kilomita 50 kwa siku, ni simple and affordable!!
Matokeo utayaona mapema sana. Usikubali mtu akikwambia punguza kula, labda vyakula vya mafuta na sukari kama bia, soda and chocolates!!
mkuu huwa naipenda sana hii kauli.Ur what you eat!
Hongera sana,ni uamuzi wa busara.Na mimi pia mmenishawishi ngoja nianze mazoezi niondoe kitambi.Wakuu....your posts got me inspired....kajitambi kanakuja na kwangu....jana jioni I started with serious workouts.And I am determined to cut down my beer intake by 75% maana hiyo najua ndo sababu kubwa.
Shukrani....will keep you posted of my progress!