Dawa ya kiuno na mgongo

Dawa ya kiuno na mgongo

Kisima

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2010
Posts
4,114
Reaction score
4,486
Habari zenu ndugu zangu wanaJF!

Hapa nina tiba maridhawa na suruhisho kwa wale wanaosumbuliwa na maumivu ya kiuno.

Dawa hii ni mchanganyiko wa mimea miwili tu ambayo ni dhahiri ukiitumia ipasavyo ndani ya siku tatu utapona kabisa tatizo lako.

Dawa hii inatumiwa na rika zote, haijarishi ni mzee au kijana utapona kwa kujichuo sehemu yote ya mgongo mpaka kiunoni jioni baada ya kazi.

Dawa hii utaipata kwa sh20,000/= popote ulipo ntakufikia na kama unataka kujua formula yake itahitajika ulipie sh30,000/=

Ingredients za dawa hii zinapatikana kila mahala ndani ya Nchi yetu.

Sipo hapa kwajili ya kuibia watu. Ikitokea kwamba hujapona basi ntarudisha nusu ya hela yako uliyonunulia dawa.

Mwenye kuhtaji anipigie kwa 0715083408 au PM.

Karibuni sana!
 
Hii inahusu sana kwa wale mnaoshinda maofsini asilimia kubwa ni waathirika wa hili tatizo. Mwenye hitaji la kupona kabisa anitafte.
 
Habari zenu ndugu zangu wanaJF!

Hapa nina tiba maridhawa na suruhisho kwa wale wanaosumbuliwa na maumivu ya kiuno.

Dawa hii ni mchanganyiko wa mimea miwili tu ambayo ni dhahiri ukiitumia ipasavyo ndani ya siku tatu utapona kabisa tatizo lako.

Dawa hii inatumiwa na rika zote, haijarishi ni mzee au kijana utapona kwa kujichuo sehemu yote ya mgongo mpaka kiunoni jioni baada ya kazi.

Dawa hii utaipata kwa sh20,000/= popote ulipo ntakufikia na kama unataka kujua formula yake itahitajika ulipie sh30,000/=

Ingredients za dawa hii zinapatikana kila mahala ndani ya Nchi yetu.

Sipo hapa kwajili ya kuibia watu. Ikitokea kwamba hujapona basi ntarudisha nusu ya hela yako uliyonunulia dawa.

Mwenye kuhtaji anipigie kwa 0715083408 au PM.

Karibuni sana!

We choko umeanza kuuza dawa baada ya kumaliza kuuza tope[emoji3][emoji3][emoji23]mjini pagumu
 
Back
Top Bottom