Dawa ya kuacha kusweat ni nini?

Bavaria

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2011
Posts
53,092
Reaction score
53,496
Habarini za usiku wapendwa.

Nimekuwa muhanga wa hili tatizo sana hasa nikiwa natembea umbali mrefu kwa haraka najikuta nasweat sana.

Unaweza ukawa ni ugonjwa gani?

Dawa ya kutibu ni nini?
 
Habarini za usiku wapendwa.

Nimekuwa muhanga wa hili tatizo sana hasa nikiwa natembea umbali mrefu kwa haraka najikuta nasweat sana.

Unaweza ukawa ni ugonjwa gani?

Dawa ya kutibu ni nini?

Natamani wangekuja humu wanaofahamu! yaani mimi hata pawe na baridi vipi na sweat
 
poleni sana jaman
nami nasweti sana ila ni kutokana na mfumo wa maisha nilonao
nakunywa sana maji karibia lt 5 , so kusweti kwangu ni lazima
sijui ninyi wenzangu!
 
poleni sana jaman
nami nasweti sana ila ni kutokana na mfumo wa maisha nilonao
nakunywa sana maji karibia lt 5 , so kusweti kwangu ni lazima
sijui ninyi wenzangu!

nakunywa sana pia ila mi nakunywa lita 3 hivi kwa siku.
 
Habarini za usiku wapendwa.

Nimekuwa muhanga wa hili tatizo sana hasa nikiwa natembea umbali mrefu kwa haraka najikuta nasweat sana.

Unaweza ukawa ni ugonjwa gani?

Dawa ya kutibu ni nini?
uko wapi nikusaidie?
 
Habarini za usiku wapendwa.

Nimekuwa muhanga wa hili tatizo sana hasa nikiwa natembea umbali mrefu kwa haraka najikuta nasweat sana.

Unaweza ukawa ni ugonjwa gani?

Dawa ya kutibu ni nini?

Acha kutembea umbali mrefu kwa haraka, alafu pia usinywe maji.
 
Acha kutembea umbali mrefu kwa haraka, alafu pia usinywe maji.

nakunywa sana maji, na hizi hatua zangu ndefu hivi unadhani nitaacha kusweat hivi?
 
georgeallen urine culture ndo nini mkuu.?

Kama una-sweat sana hata wakati wa baridi-au baada ya kuogea maji baridi hiyo siyo kawaida. Labda una infection-mostly likely a systemic infection. a Typhoid bacterium au UTI ndio vitu vya kuangalia. Kwa kuotesha (culture) mkojo au stool on a special medum e.g Nutrient Agar. Aim is identify the specific organism causing the problem and the right treatment
 
Make sure unaondoa nywele zote na utumie deodorant ya Nivea kwa miez mitatu.....inasaidia sana.
 
Tupe vigezo vya kutosha kuhusu mwili wako
1. Uzito wako
2. Umbile la mwili
3. Kama ulisha wahi kuugua maradhi yeyote
Kunywa maji kwa mwanadamu kwa siju ni kawaida not less than 5lt,
 
Huwezi kuzuia ku sweat. ni sawana kuziba pua zako. Acha ngozi itoe jasho. Kusweat ni afya; that's mwili uko normal. Ukiwa na homa unasweat?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…