Dawa ya kuchimbika mitombo

Crispin Nyoni

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2012
Posts
413
Reaction score
90
Kuna jirani yangu ana ugonjwa wa kuchimbika mitombo. Hospitali nyingi amekwenda bila mabadiliko. Inafaa atumie dawa ipi?
 
Yalaah ndo ugojwa gani huo mitombo,

Da yaani kwa lugha ya huku kwetu Tunduru(RUVUMA) inaeleweka kiasi Pole mkuu ila ni ugonjwa fulani mtu anaona mguu au mkono unachimbika kutoka upande huu wa chini kuja kwa huku juu na kujitokeza tundu kubwa. Msaidieni kwa anayejua.
 
Nashukuru pasta kusaidia. Hivyohivyo. Yaani mitombo ni umoja na wingi.
 
ni VD hiyo ama ni kaswende iliyokomaa sana ama Pangusa aende hospital sio Dr Nyondo!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…