Elections 2010 Dawa ya kudumu migomo vyuo vikuu yatangazwa

chilamjanye

Senior Member
Joined
Oct 5, 2007
Posts
110
Reaction score
3
DAWA YA KUDUMU MIGOMO VYUO VIKUU YATANGAZWA

Kuelekea Uchaguzi Mkuu Mwaka 2010, Kupitia ilani za vyama vya upinzani pekee yaani CHADEMA na CUF elimu itakuwa bure na kwa hali hii kwa sababu migomo yote vyuo vikuu ilitokana na bodi ya mikopo na watu kutopatiwa fedha za kutosheleza mahitaji kimasomo, Tukichagua wapinzani hatutakuwa na na shida tena mikopo ni historia kwetu na wale tunaodaiwa na hatujaanza kulipa subiri kuanza malipo hayo kwani DR SLAA uleeeeeeeeeeee IKULU nasisi hatutalipa kwani hakuna mantiki ya kulipa mikopo na huku tunalipa tena PAYEE na VAT kwa kila kitu.

Enyi wazazi , enyi VIjana Tusidanganyike. Tukidanganyike Tusilaumiane
 
watu wameziba masikio. ww utakuja niambia hapa
 
mimi yangu macho bahati nzuri chuo nimemaliza na nategemea niombe uraia nje kama slaa atashindwa na nimeangalia vizuri sheria ya board ya mikopo haisemi nikibadili uraia itakuwaje? so moja kwa moja sitawalipa nitakuwa nakaa hapa kama mgeni
 
wanafunzi elimu ya juu na wasomi tusifanye mchezo kwani wakati ndiyo huu
 
lakini kazi hii si ya kwetu tena hata wazazi wetu na wadogo zetu wanatakiwa kuwa na sisi katika kuleta mabadiliko kwani madogo ndo mnakuja vyuoni mmeshaambiwa elimu bure na nyinyi wazazi mnajua suluba ya kusaka hela
 
Elimu ya juu mpoooooooooooooo kazi kwenu mimi nawakumbusha
 
jamani wadau wasomi pole sana kwa kujiandikisha vyuoni lakini bado unayo nafasi ya kuhakikisha ndugu zako na jamaa na marafiki wanapiga kura ya mabadiliko hata kama wewe utashindwa kuja kupiga kura dar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…